Uwanja wa Michezo wa Centenario
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Centenario ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2011 kwenye mji wa Resistencia nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sarmiento na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Centenario kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |