Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Carrington Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Carrington Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Bathurst nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Soka ya kitaifa ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 13,000.[1]

  1. "Hyundai A-League heads for Bathurst". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-20. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Carrington Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.