Uwanja wa Michezo wa Canberra
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Canberra ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Canberra nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "GIO Stadium (Canberra Stadium) - Austadiums". austadiums.com. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Canberra kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |