Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Brigadier General Estanislao López

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Brigadier General Estanislao López ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1946 kwenye mji wa Santa Fe nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya C.A. Colón na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,835.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Brigadier General Estanislao López kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.