Uwanja wa Michezo wa Bir Sherestha Shaheed Shipahi Mostafa Kamal
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Bir Sherestha Shaheed Shipahi Mostafa Kamal ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1955 kwenye mji wa Dhaka nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya mpira wa miguu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bangladesh national football team statistics and records: attendances". 11v11.com. Iliwekwa mnamo 2019-09-12.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Bir Sherestha Shaheed Shipahi Mostafa Kamal kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |