Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Barisal Divisional

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Barisal Divisional (pia unajulikana kama Uwanja wa Shaheed Abdur Rab Serniabat) ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1955 kwenye mji wa Barisal nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kriketi, mpira wa miguu na mengine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000. [1]

  1. "Barisal Divisional Stadium". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-10. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Barisal Divisional kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.