Uwanja wa Michezo wa Bank Respublika Arena
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Bank Respublika Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2014 kwenye mji wa Masazir nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sabah FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "World Stadiums - Stadiums in Azerbaijan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Bank Respublika Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |