Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Bangabandhu National

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Bangabandhu National ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1954 kwenye mji wa Dhaka nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kandanda na riadha na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 36,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Bangabandhu National kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.