Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ballarat Regional Soccer Facility

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Ballarat Regional Soccer Facility ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Ballarat nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia, Ballarat City FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]

  1. Project Fact Sheet Ilihifadhiwa 12 Mei 2014 kwenye Wayback Machine. Department of Infrastructure and Regional Development
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ballarat Regional Soccer Facility kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.