Uwanja wa Michezo wa Bakcell Arena
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Bakcell Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2012 kwenye mji wa Baku nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Aze[1]rbaijan, Neftçi na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 11,000.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Стадион "8-й километр" получил новое название". 1news.az (kwa Kirusi). 11 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Bakcell Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |