Uwanja wa Michezo wa Axis Bird
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Axis Bird ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1996 kwenye mji wa Tottori, Tottori Chūgoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gainare Tottori na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,033.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Axis Bird kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |