Uwanja wa Michezo wa Australia
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Australia ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 83,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Accor Stadium". Austadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Novemba 2023. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Australia kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |