Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Arq. Ricardo Etcheverri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Arq. Ricardo Etcheverri ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1905 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ferro Carril Oeste na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,442.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Arq. Ricardo Etcheverri kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.