Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Amar Hamam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Amar Hamam ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Khenchela nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya USM Khenchela na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Amar Hamam kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.