Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Alfredo Terrera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Alfredo Terrera ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1946 kwenye mji wa Santiago del Estero nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Central Córdoba (SdE) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Alfredo Terrera kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.