Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Alfredo Beranger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Alfredo Beranger ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1924 kwenye mji wa Temperley nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Temperley na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 26,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Alfredo Beranger kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.