Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Alberto José Armando Stadium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa La Bombonera ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1940 kwenye mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Boca Juniors na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 57,200.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Alberto José Armando Stadium kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.