Uwanja wa Michezo wa Al Thumama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Al Thumama

Uwanja wa michezo wa Al Thumama (kwa Kiarabu: Malʿab ath-Thumāma) ni uwanja wa mpira wa miguu huko Al Thumama nchini Qatar. Ni moja kati ya uwanja utakaotumika wakati wa Kombe la Dunia la FIFA la 2022 nchini Qatar.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uzinduzi wa uwanja ulifanyika tarehe 22 Oktoba 2021, wakati wa fainali ya Kombe la Emir . [2]

Mnamo Mei 2018, Uwanja wa Al-Thumama ulitunukiwa Tuzo ya MPIM/Architectural Review Future Project Award kwenye kipengele cha Michezo na Viwanja nchini Ufaransa.[3][4]

Uwanja huo ulichezewa michezo sita wakati wa mashindano ya kombe la FIFA la Kiarabu 2021 ikiwa ni pamoja na nusu fainali kati ya nchi ya Qatar na Algeria.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Six facts about Al Thumama Stadium. qatar2022.qa (20 August 2017). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-06-22. Iliwekwa mnamo 11 February 2022.
  2. Al Thumama Stadium - When will the sixth Qatar 2022 World Cup venue be inaugurated?. goal.com (21 September 2021). Iliwekwa mnamo 24 September 2021.
  3. Al Thumama Stadium honoured for innovative design. gulf-times.com (20 May 2018). Iliwekwa mnamo 14 December 2021.
  4. Qatar’s Al Thumama Stadium wins prestigious international architectural accolade. ausleisure.com.au (9 June 2018). Iliwekwa mnamo 16 December 2021.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Al Thumama kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.