Uwanja wa Michezo wa Akita Prefectural Central Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Akita Prefectural Central Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1984 kwenye mji wa Akita city, Akita Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Saruta Kōgyō S.C. [tl]
Akita FC Cambiare na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Akita Prefectural Central Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |