Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Akigin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Akigin

Uwanja wa Michezo wa Akigin ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1953 kwenye mji wa Akita, Akita nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Blaublitz Akita
Saruta Kōgyō S.C. [tl] na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Akigin kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.