Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ajinomoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Ajinomoto

Uwanja wa Michezo wa Ajinomoto ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2000 kwenye mji wa Chofu, Tokyo nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Tokyo, Tokyo Verdy 1969 na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 49,970.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ajinomoto kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.