Uwanja wa Michezo wa Aizu Athletics Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Aizu Athletics Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2013 kwenye mji wa Aizuwakamatsu, Fukushima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukushima FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,300.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Aizu Athletics Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |