Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Adelaide Oval

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Adelaide Oval ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Adelaide nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Australia, timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 53,500.[1]

  1. "Adelaide Oval". Austadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Juni 2022. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Adelaide Oval kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.