Uwanja wa Michezo wa 9.98
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 9.98 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1967 kwenye mji wa Fukui, Fukui Chubu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 9.98 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |