Uwanja wa Michezo wa 8 Mei 1945
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 8 Mei 1945 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1972 kwenye mji wa Sétif nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ES Sétif na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 8 Mei 1945 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |