Uwanja wa Michezo wa 5 Julai 1962
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 5 Julai 1962 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Algeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1972 kwenye mji wa Algiers nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Algeria na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 64,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stade 5 Juillet 1962". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-14. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 5 Julai 1962 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |