Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa 4 de Janeiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa 4 de Janeiro ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Angola. Ulizinduliwa kwenye mji wa Uíge nchini Angola. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ASK Dragão, Santa Rita de Cássia na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]

  1. "Stadiums in Angola". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-13. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 4 de Janeiro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.