Uwanja wa Michezo wa 24 February 1956
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 24 February 1956 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1981 kwenye mji wa Sidi Bel Abbès nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya USM Bel Abbès na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 45,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stade du 24 février 1956 - Soccerway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-05. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 24 February 1956 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |