Uwanja wa Michezo wa 23 de Agosto
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 23 de Agosto ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1973 kwenye mji wa San Salvador de Jujuy nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gimnasia y Esgrima (J) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 23,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Estadio de Crucero del Norte de Misiones on Estadios de Argentina
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 23 de Agosto kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |