Uwanja wa Michezo wa 1 Novemba 1954
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 1 Novemba 1954 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1979 kwenye mji wa Batna nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya CA Batna & MSP Batna na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie. 8 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 1 Novemba 1954 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |