Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa 18 Februari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa 18 Februari ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Algeria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Biskra. Uwanja huu hutumiwa na timu ya US Biskra na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. "Coup d'envoi des travaux de réalisation du nouveau complexe sportif à Béchar". Radio Algérie.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 18 Februari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.