Uwanja wa Michezo wa 11 Novemba
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa 11 Novemba ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Angola. Ulizinduliwa kwenye mji wa Viana nchini Angola. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Primeiro de Agosto, Petro de Luanda, Benfica de Luanda, Angola national na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 48,500.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadiums in Angola". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-13. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 11 Novemba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |