Uwanja wa Michezo Iwate Morioka
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Iwate Morioka ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1966 kwenye mji wa Morioka, Iwate nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Grulla Morioka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo Iwate Morioka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |