Uwanja wa Marconi
Mandhari
Uwanja wa Marconi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia women's national soccer team, Marconi Stallions FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Marconi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |