Uwanja wa michezo wa MKO Abiola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa MKO Abiola)
Uwanja wa MKO Abiola

Uwanja wa MKO Abiola ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Abeokuta nchini Nigeria. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na mechi na pia ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Gateway F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu karibiya 10,000 na kenda.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina la uwanja linamaanisha (Moshood Kashimawo Olawale Abiola) mfanyabiashara muhimu,na mchapishaji, mwanasiasa na mwanasheria mkuu wa Abeokuta, Jimbo la (Ogua).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa MKO Abiola kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.