Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika)
Uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika ni uwanja wa michezo uliopo katika Wilaya ya Kigoma-Ujiji, mkoa wa Kigoma, nchini Tanzania, ukitumika sana kwa ajili ya michezo tofauti tofauti, hasa mchezo wa mpira wa miguu. Uwanja huo unachukua watu takribani 20,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lake Tanganyika Stadium, Kigoma, Tanzania Tourist Information". www.touristlink.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-21.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |