Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Otunba Dipo Dina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Kimataifa wa Otunba Dipo Dina , hapo zamani uwanja huo ulijulikana kama Gatewa, ni uwanja wenye matumizi mbalimbali unaopatikana Ijebu-Ode nchini Nigeria. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwuandaa michezo ya mpira wa miguu (soka) na michezo mingine na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya FC Ebedei. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 20,000. ulirekebishwa kwa ajili ya Kombe la Dunia la mwaka 2010.

Uwanja huo ulibadilishwa jina mnamo 2011 baada ya Otunba Dipo Dina mgombea wa kisiasa kuuawa .[1]

Nyumba ya sanaa ya picha[hariri | hariri chanzo]

Viunga vya njee[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Larewaju, Kolade. "Nigeria: Amosun Vows to Bring Perpetrators of Political Killings to Book", Vanguard, AllAfrica Global Media, 29 May 2011. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa kimataifa wa Otunba Dipo Dina kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.