Uwanja wa Kimataifa wa Coffs Harbour
Mandhari
Uwanja wa Kimataifa wa Coffs Harbour ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Coffs Harbour nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia men's national soccer team, Australia women's national soccer team na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "C.ex Coffs International Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Kimataifa wa Coffs Harbour kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |