Uwanja wa Kati wa Khazar Lankaran
Mandhari
Uwanja wa Kati wa Khazar Lankaran ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2006 kwenye mji wa Lankaran nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Azerbaijan, Khazar Lankaran na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Fırtınalar meydanı"nda qol şousu Archived 2011-07-06 at the Wayback Machine
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Kati wa Khazar Lankaran kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |