Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Inglewood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Inglewood ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Perth nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Inglewood United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,536.[1]

  1. "Inglewood Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Inglewood kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.