Uwanja wa Hocine Ait Ahmed
Mandhari
Uwanja wa Hocine Ait Ahmed ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2023 kwenye mji wa Tizi Ouzou nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya JS Kabylie na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 50,766.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ouzou : les travaux du nouveau stade de la JSK enfin lancés - Divers - Tout sur l'Algérie - page 1". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-15. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Hocine Ait Ahmed kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |