Uwanja wa michezo wa Hadejia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Hadejia)

Uwanja wa michezo wa Hadejia unatumika kama uwanja wa michezo huko Hadejia,jimbo la Jigawa, nchini Nigeria.[1]. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Jigawa Golden Stars F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kukaliwa na watu takribani 15,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Stadiums in Nigeria. World Stadiums. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-04-18. Iliwekwa mnamo 2008-06-17.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Hadejia kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.