Uwanja wa michezo wa El-Kanemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa El-Kanemi)

Uwanja wa michezo wa El-Kanemi ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali uwanja huu unapatikana katika jimbo la Maiduguri, nchini Nigeria.

 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara

Hivi sasa uwanja huu unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) pia ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya El-Kanemi Warriors. Uwanja una uwezo wa kukaliwa na watu 10,000[1].Uliitwa jina la mtawala wa Kanem-Borno Empire, Muhammad al-Amin al-Kanemi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa El-Kanemi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.