Uwanja wa michezo wa Barikadimy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Barikadimy)

Uwanja wa michezo wa Barikadimy ni uwanja wa mchezo uliopo Toamasina nchini Madagaska. Unatumika sana kwa ajili ya mashindano ya mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya AS Fortior ya THB Champions League, uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-23. Iliwekwa mnamo 2021-06-10. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Barikadimy kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.