Uwanja wa Ballymore
Mandhari
Ballymore ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia women's national soccer team, Brisbane Roar FC (A-League Women) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ballymore Stadium". Austadiums. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Ballymore kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |