Uwanja wa Baku National
Mandhari
Uwanja wa Baku National ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2015 kwenye mji wa Baku nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Azerbaijan na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 69,870.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "First Division Clubs in Europe 2022/23" (PDF). UEFA. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Baku National kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |