Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Ali La Pointe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Ali La Pointe ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2024 kwenye mji wa Douéra, Algiers nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya MC Alger na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 40,000.[1]

  1. "Liberte, Quotidien National d'Information -". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-02. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Ali La Pointe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.