Uwanja wa michezo wa Alexandra (Afrika Kusini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Alexandra

Uwanja wa Alexandra ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana Alexandra, Johannesburg, Gauteng nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa mchezo wa soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa timu ya Alexandra United katika ligi inayodhaminiwa na Vodacom.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Alexandra (Afrika Kusini) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.