Uwanja wa michezo wa Addis Ababa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Addis Ababa)
Uwanja wa taifa wa Addis Ababa

Uwanja wa taifa wa Addis Ababa ni uwanja wa michezo ya riadha,Ragi pamoja na mpira wa miguu, ni uwanja wa taifa wa Ethiopia wenye uwezo wa kuchukua mashabiki takriban 250,000.Ulijengwa na serikali ya China ukiwa na ukubwa wa hekari 37 .[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Addis Ababa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.