Uwanja wa 19 May 1956
Mandhari
Uwanja wa 19 May 1956 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Aljeria. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Annaba nchini Aljeria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya USM Annaba na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 56,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Le stade olympique d'Ebimpé intègre le top 10 des grands stades en Afrique". pressecotedivoire.ci. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-21. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa 19 May 1956 kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |